Wa kwangu nimemuanzisha akiwa na mitano, wakati akiwa na umri wa miaka mitatu nilimpeleka day care nikaona anauelewa mkubwa, mwaka unaofuata nikampeleka nasari. Hivi sasa yupo la pili na miaka yake sita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.