ZAHANATI mbili zimefungwa kwa kukosa watumishi wa kada ya afya katika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kupelekea wananchi kusafi ri umbali mrefu kufuata huduma za afya.
Hayo yalibainika juzi...
Habari wakuu wote.
Kwanza nafahamu humu sio TRA wala hii sio forum ya serikali lakini nina imani watu muhimu wanapita humu, hivyo wataliona hili, maana hatuna sehemu nyingine ya kusemea.
Ni...
Rapper wa Marekani Snoop Dogg amesema anampango wa kuhamia Uganda baada ya maneno makali aliyoyarusha Rais Donald Trump kwa nchi za Afrika. ("shithole")
Katika video YouTube, rapa huyo...
Kagame was born to a Tutsifamily in Tambwe, Rwanda-Urundi in October 1957 toDeogratius and Asteria Rutagambwa. In November 1959, an increasingly restive Hutupopulation sparked a revolt, eventually...
Wakuu, nimekuwa nasononeka kila ifikapo mwisho wa juma au sikukuu kukosa pahala pa kujiliwaza mie mwenyewe na hata familia. Natumai mheshimiwa waziri alikuwa akienda kwenye kumbi hizo enzi zile...
Katika hali ya kustaajabisha, maiti za watoto wanaokadiriwa kuwa na umri wa siku moja au zaidi, zinazofikia idadi ya 11, zimefukuliwa katika shimo moja, jirani na maeneo ya hospitali ya...
KOCHA Mkuu Mpya wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre anayetarajiwa kuanza rasmi kazi ya kuinoa timu hiyo kesho Jumanne na kumwezesha kuingiza kiasi cha Sh42,000 kwa kila dakika 60 yaani saa limoja...
Kwa jinsi siasa za nchi hii zinavyoendelea nimejikuta natafakari sana huu wimbo wetu wa taifa, nimetafakari maneno yaliyomo ndani yake.
Baada ya kufikiri kwa kina huku nikiwa nimeshaisoma sana...
Kipindi cha 'Power Breakfast' kina Babra, PJ, Siza, Fredua, Philipp na Masoud ama KP. Tokea KP ajiunge tens na Clouds FM has a katika kipindi hiki cha PB huyu jamaa hawapi nafasi wenzie kutoa...
Ninatambua kazi nzuri unayofanya lakini ninapenda kukushauri kuhusu utendaji kazi wa Maasakari wa barabarani.
Kwanza kabisa nikupe idadi ya vituo vya ukaguzi vya barabarani toka Jijini Mwanza...
Kuna mambo mengi yakitelezwa Tanzania basi uenda tukawa the best Africa asa kimaendeleo....mfano:
1.Kwanini Tanzania isiwe na industry tax free kwa grace period ya miaka mitano kwa viwanda vipya...
ONYO: INA MAUDHUI YA KUUZI, VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA. THREAD HII NI KWA AJILI YA KUJIFUNZA UWAJIBIKAJI SI KUTUKANANA.
===========
Habari wapendwa wa JF!
Leo katika pita pita zangu humu...
Waziri Mwakyembe amtembelea Wastara, ampa Mill. Moja.
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe jana Januari 20, 2018 amemtembelea na kumjulia hali msanii wa...
Wadau wanguvu.
Kutokana na mada juu ya vibamia kukithiri, nikaona si vibaya nitoe RAI yangu kwa kuandika kitu. Nawausia wazazi wenzangu na wale mnaotarajia kupata watoto. Jamani tuweke emphasis...
Jana usiku nilisikia sauti ya mbu akiranaranda nje ya chandarua changu,ukichangia na ugumu wa maisha mwenzi huu January nikawaza jambo moja la kijinga hivi..
hivi vyandarua ambavyo serikali...
Kuna jamaa kapigwa tecno L9+ kama utani maana kamkuta jamaa ana kimeza kama mnavyojua mafundi simu wa town na tatizo lake lilikua ni camera basi fundi akamwambia tatizo linarekebishika gharama ya...
Wanaoshangaa Mwekezaji Mlimani City kuwekeza sh 150,000 hawajui kuwepo biashara zinazoanzishwa bila mtaji pesa?
Na:Mathias Byabato
"Hapo zamani katika kampuni moja ya huduma za Meli kulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.