Paul Kagame hana hata Diploma, soma historia yake hapa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Kagame hana hata Diploma, soma historia yake hapa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eumb, Aug 13, 2012.

 1. eumb

  eumb Senior Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kagame was born to a Tutsifamily in Tambwe, Rwanda-Urundi in October 1957 toDeogratius and Asteria Rutagambwa. In November 1959, an increasingly restive Hutupopulation sparked a revolt, eventually resulting in the overthrow of MwamiKigeri V Ndahindurwa in1961.

  During the 1959 revolt and its aftermath, more than 150,000 people werekilled in the fighting, with the Tutsis suffering the greatest losses. Severalthousand fled to neighbouring countries including Burundi and Uganda.[SUP][6][/SUP] In all, some 20,000 Tutsis were killed.

  In 1960Kagame left with his family at the age of two and moved to Uganda with many other Tutsis. In1962 they settled in the Gahunge refugee camp, Toro, where Kagame spent therest of his childhood years.
  Heattended Ntare Secondary School in Uganda. Duringmuch of this time Kagame was a "motivated student" and bore an earlyfascination with revolutionaries such as Che Guevara.


  His military career started when he joined Yoweri Museveni's National Resistance Army(NRA) and spent yearsfighting as a guerrillaagainstthe government of Milton Obote in what is commonly known inUganda as the bush war.

  On 27 July 1985, Milton Obote was ousted in a military coup led by Tito Okello. In 1986 the NRA succeeded in overthrowing Okelloand the NRA leader Yoweri Museveni became President of Uganda. Thissame year, Kagame as a Tutsi was instrumental in forming, along with his closefriend Fred Rwigema, the Rwandese Patriotic Front(RPF), which was composed mainly of expatriate Rwandan Tutsisoldiers that had also fought with the NRA; the RPF was also based in Uganda.

  In 1986, Kagame became the head of military intelligence inthe NRA, and was regarded as one of Museveni's closest allies. He also joinedthe official Ugandan military.

  During 1990, Kagame went to Fort Leavenworth where the U.S. Army gave him militarytraining. When the RPF started an invasion of Rwanda and his closefriend and RPF co-founder Fred Rwigema was killed under disputedcircumstances, the U.S. arranged the return of Kagame to Uganda and thence totake the leadership of the invasion, thus signaling that the U.S. was sidingwith the RPF against the incumbent Rwandan government. Broadening thisconnection, the U.S. andU.K. militaries provided further training and active logistical support to theRPF, which it used to take over power in Rwanda after 1994.

  After comingto power, Kagame arranged for the RPA to receive further counterinsurgency andcombat training from U.S. Special Forces, which was put to use in the 1996–1997Rwandan-backed military campaign to overthrow the government of neighboring Zaire.

   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Uongozi si taaluma.
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  mwenye phd kawafanyieni nini watanzania?
   
 4. U

  UNIQUE Senior Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kinachomssaidia kagame ni kwamba anakubali kuwa hajui na kutafuta wanaojua wamuelekeze. Hata angesoma vipi asingeweza kujua yote. Pia ana imani fulani moyoni mwake. Jiulize rais wako ana imani gani?
  Kagame anasema zaidi ya nusu yake ameishi kama mkinbizi. Hivyo basi anipenda nchi yake na hataki ipotee tena. Hana tamaa ya vitu maana alishawahi kuwa navyo. Utani kagame hana uliza kazi kazi hata kama umezaliwa naye! Wengine ni ushemeji tuuuuuuuuuuuuuuuuu, uswahiba
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Mwenye PHD nne anatuzingua na slogan yake ya ni "upepo utapita tu" hana vision wala mission zaidi zile ahadi hewa alizotoa kila anapopita...na kuacha watu hoi maana hazitekelezeki hata
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dr. Kikwete oyeee...
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hakuna taabu. Awasiliane na 'Dk' Jakaya Kikwete amfundishe jinsi ya kusuka na vyuo uchwara vimzawadie PhD ili atanue nayo hata kama hajaisomea kama yeye. Kama rais wa nchi atakuwa ameishapewa PhD na vyuo vinavyojiweka karibu na watawala ili kupata pesa. Pamoja na kutokuwa na elimu ya juu. Kagame ana common sense inayomwambia asitumie PhD ya kuzawadiwa kwa sababu itashusha hadhi yake.
   
 8. Mourinho

  Mourinho JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,622
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Ulitaka kusema nini mkuu? Yes hana diploma,so what?
   
 9. F

  Fofader JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kuna kitu kinaitwa Diploma disease, unakijua? Inaonekana ndio ugonjwa unaokusumbua.
   
 10. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,112
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  uongozi ni kipaji anachozaliwa nacho mtu tafuteni cv ya aliyekuwa rais wa Brazil Lula Dasliva lakini ndiye kiongozi mwenye historia ya pekee na mafanikio makubwa kupita viongozi wote waliowahi kutokea
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Excellently presented NN! Kina Dr. Mh sijui nani hakuna kitu. Baba yangu alisoma darasa la zamani la middle school na alikuwa na akili a maisha na uongozi mzuri wa familia ndipo tukaweza kufika tulipo watoto wote 8 wa mama mmoja, wote graduates in various fields. Alikuwa mpango mzima, natamani angekuwa Rais nchi hii. Sijivuni but elimu hata mjini tuna wenye PhD but mbofu mbofu maisha yao. Sasa mtu wa namna hii akipata upenyo wa kuwa kiongozi mambo ni mbofu mbofu na dhaifu.
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ndo mana mnaambiwa siasa sio ya wasomi kwa sana!hasa nchi zetu za kiafrica ambao mzungu alisha tunywesha sumu kuwa bila helimu hasa hii tunayoipigania basi maisha hakuna, which is wrong.
   
 13. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Funguka mkuu, naona kama story yako is still underway.
   
 14. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wale wataalamu wa CV humu wanasemaje - kwani kwao kila akitaka kumuongelea kiongozi wanakimbilia cv as if yenyewe ndiyo ufumbuzi wa matatizo yetu
   
 15. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  sisi tuendelee tu kubishana, chuo gan ndo kizuri? Eti kozi gan vile inalipa? Mara ooh chuo kile cha kata hiki cha almashauri. Yote hayo watu wanaulizia ili waishie kuifilisi nchi, rubbish!
   
 16. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,002
  Trophy Points: 280
  Mwanae wa kiume na Riz1 nani ana pesa nyingi? Lol,
   
 17. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Mkuu umetujuza kagame hana hata Diploma,asante kwa taarifa....so unataka tujue nini zaidi?
  au ulitaka tukumbuke kuwa elimu ya vyeti si muhimu sana kwa kiongozi mwenye wito anayejitambua?
  asante pia kwa hilo kama ndilo lengo lako tumekumbuka kiongozi.
   
 18. f

  funguotatu Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vibaraka wa kuwatetea viongozi vilaza utawaona tu, lazima utofautishe kilaza na mtu ambaye hakupata fursa ya kusoma. Kukosa fursa ya kusoma siyo kwamba mtu ni kilaza anaweza kuwa na akili nyingi kuliko hata wewe uliemaliza madigrii kibwene. Lakini mtu a;iyepata fursa ya kusoma na shule ikamshinda huyo ndo kilaza. Mfano uko wazi wa viongozi kama hao wameenda kusoma uingereza wamerudi kama walivyoenda.
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Sisi mbona tunaongozwa na Phd lakini we can't match them? Kweli uongozi si mpaka uvunje ukuta wa madarasa
   
 20. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kila penye vita USA hakosekani,ndiye mwanzilishi wa chokochoko zote duniani!big up kagame hata hapa tanzania MBOWE ni tishio kwa sasa mpaka mbunge leo kasema nchi itatawaliwa na mbowe na huku mapambano yanaendelea!
   
Loading...