Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,248
Rapper wa Marekani Snoop Dogg amesema anampango wa kuhamia Uganda baada ya maneno makali aliyoyarusha Rais Donald Trump kwa nchi za Afrika. ("shithole")
Katika video YouTube, rapa huyo alitangaza kwamba atahamia Uganda kutokana na maoni ya kibaguzi kuhusu nchi za Kiafrika kutoka kwa swahimu wake wa hivi karibuni.
Amesema Amekuwa akiipenda Afrika mashariki hasa Uganda kwa miaka mingi.
Ikumbukwe Snoop Dogg na Donald Trump walikuwa na mahusiano mazuri enzi za 2007, ambapo Trump aliruhusuu Lexus Challenge, kufanya freestyle[mitindo huru] na rapper Snoop Dogg jambo ambalo kwasasa ni ngumu kufanyika.
Moja ya Tweet ya Trump kwa Snoop..
hivi karibuni wameonekana kushambuliana kwenye vyombo vya habari.
Snoop ametengeneza brand ya T.shirt za Uganda.
Je, ni kweli Snoop atahamia Uganda au ni staili tu ya kujibu mashambulizi ya Trump?
Pia je, Snoop anayafurahia yanayotendwa na Mu7 Uganda au Yeye unyanyasaji wa viongozi wa kiafrika ni mdogo kuliko ubaguzi anaotangaza Trump?