Mwakyembe tuletee majumba ya filamu tena.

Mwakyembe tuletee majumba ya filamu tena.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,734
Wakuu, nimekuwa nasononeka kila ifikapo mwisho wa juma au sikukuu kukosa pahala pa kujiliwaza mie mwenyewe na hata familia. Natumai mheshimiwa waziri alikuwa akienda kwenye kumbi hizo enzi zile. Takriban kila mkoa nchini ulikuwa na kumbi hizo na zilikuwa zikiwaburudisha wananchi kwa filamu baada ya kazi za ujenzi wa taifa tokea j3 mpaka Ijumaa. Kwa kuwa mheshimiwa Rais anajitahidi kuirejesha nchi katika mstari hasa wa kimaadili basi kasi hiyo waziri nae aitumie kwa jambo hili, hii itasaidia kutangaza bidhaa za wasanii wetu na kukuza rasilimali zetu kama mbuga za wanyama kwa upana zaidi.
 
Wekeza ni fursa nzuri sana ww unamwambia mqakyembe wenzako wanapiga pesa
 
Back
Top Bottom