Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda wakati akizungumza leo Aprili 30, 2026 katika maadhimisho ya Siku ya uhuru wa Vyombo vya Habari duniani amesema Serikali inawajibu wa...
Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari
Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira
Tairi moja...
Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki...
Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwaโni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban...
Kwanini Huwa ni nadra Dar es Salaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya ,
Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ..? Au
N.B hapa nazungumzia wazawa wa Pwani na sio...
Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa
Serikali za Africa hazina hata mpango
Sasahivi China imefanikiwa, wameamua...
Siwezi kuacha hili lipite bila kuleta mrejesho vijana wangu I feel good @ holoholo-baba kijacho
Rejea post hizi ili kujifunza nguvu ya hisabati kweye maisha ya kilasiku...
Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali la Kagera Development Foundation (KADEFO), Balozi Liberata Mulamula amewakaribisha wanakagera wote waishio mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam...
Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza rasmi leo, Aprili 28, 2026, uamuzi wake wa kujiondoa katika Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta Duniani (OPEC) pamoja na muungano wa OPEC+.
Uamuzi huu...
Ni rasmi sasa feature mpya ya Whatsapp kuonyesha Status upande wa juu kabisa kwenye chati imeanza kutoka.
Mwanzoni tuliposti kuwapa taarifa kuwa iko kwenye Development stages, lakini Sasa...
Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI!
Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete...
Tukiandikiwa dawa mfano na Daktari, tunavoenda kununua pharmacy za nje ya hospital zile bei tunaziaminije?
Maana hakunaga bei elekezi ya madawa, au reference ya bei, just kumpa kikaratasi cha...
Nasogelea miaka 65 sasa,ukiachia elimu ya darasani nimejifunza ufundi wa vitu vifuatavyo:
1.Ni fundi friji au friza ambazo ni smart.Natengeneza bila shida yoyote
2.Fundi wa majiko ya gesi na ya...
Tume ya Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Jaji Chande akizungumza na wahariri na vyombo vya habari amenukuliwa akisema baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300
Ni hali ya kushangaza sana...
Mimi ni Mwananchi wa Manispaa ya Lindi, Mtaa wa Jangwani, kero yangu ni kuwa Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (mahala tunapopata huduma zetu za kila siku) imeharibika haifai...
Habari,
Mimi ni mkazi wa Morogoro mjini.
Changamoto niliyokutana nayo TTCL Morogoro ni kuwa nilituma maombi kwa ajili ya kuja kufungiwa fiber internet kwenye eneo langu la kazi lakini maombi...
Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted.
Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija.
Vijana wamechoka...
Walevi wakifika kitandani haichukui round usingizi unamshika hata hakumbuki nini cha mwisho alifikiria
Ila ukiwa mkavu hujapiga vitu ukapanda kitandani kabla hujalala lazima kuna stori fulani...