Leteni Ufm Mwanza

Leteni Ufm Mwanza

Nunua decoder ya Azam ya antenna au ya satellite dish.
Utaipata humo bila usumbufu.
 
Mwanza sio ya Wasukuma Pekee, na sio kila mkazi wa Mwanza ni msukuma
Ok ok, ila sidhani wote wanakaa ofisini au nyumbani kwenye tv ili kusikiliza vipindi vya redio.
Na ndo maana kaomba steshen kwenye redio.

Maana redio unaweza sikiliza popote, uwe umepanda baskeli, unasukuma mkokoteni, uwe shambani, n.k. Pia, hata kwenye simu unaweza skiza.
 
Ni kweli
 
Mwanza sio ya Wasukuma Pekee, na sio kila mkazi wa Mwanza ni msukuma
Kwanza huyo jamaa atambue kuwa kika mtu ana hobisi zake,ila redio ni muhimu sana kwangu mimi.Na ufm ina fika shinyanga ndio maana naiomba ije mwanza
 
Back
Top Bottom