Heshima kwenu wakuu wana JF.
Leo Nimepata Wazo Nkaona niweze Ku share na nyinyi mnisaidie kushare pia mawazo,
Nina pendekezo kuwa endapo sheria ya uchaguzi itafanyiwa marekebisho na kuweka...
Serikali Haina Budi Kubana Biashara zote za Udalali;
=Udalali Wa Nyumba Za Kupanga,
=Udalali Wa Mazao Ya Mashamba,
=Udalali Wa Madini;
Nk.
Hapa Mamilioni Ya Kodi Yanapotea Kwa Uholela Wa...
Ukisoma
nadharia,aina na kazi za vyombo vya habari,kama
magazeti ya Tanzania Daima,Mwanahalisi,na Mawio yangekuwepo hili suala la Lowasa kwenda Ikulu kuzungumza na Mh Rais John Magufuli lingekuwa...
Taarifa wana jf...Kwa wanaotumia barabara ya Bagamoyo....Kwenda Bagamoyo au Kutoka Bagamoyo kuja Dsm.....Njia imefungwa maeneo ya Mapinga---Kerege....kutokana ajali iliyotokea muda wa SAA 11..za...
Dar es salaam : Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameagizwa kuundwa kwa kamati ya wataalamu kukagua kwa kina magari ya Jeshi la Polisi yaliyoingizwa nchini kutoka India baada ya...
Ni aibu kwa mamlaka inapojaribu kulazimisha misingi ya utendaji pasipo na kuhusisha wadau wake. Kuhusisha wadau ina maana ya kuweka mambo mezani kujadili kwa nguvu za hoja, kushawishi na kufikia...
Chato. Mvua kubwa iliyonyesha katika kijiji cha Mwekako kata ya Kasenga wilayani Chato mkoani Geita imesababisha vifo vya watoto wawili na kuharibu mali.
Diwani wa Kata ya Kasenga, Damian Vilarie...
Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowassa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa TLS ni Team Lowassa, hivyo waongee wengine lkn siyo...
Asilimia 90 ya wanafunzi wanasomea mitihani na sio kusoma na kukuza uelewa...
Unakuta mwanafunzi wa form 4, hata kujieleza kwa kiswahili anashindwa, Kwenye R anaweka L....Msije mkasema eti ni...
Jamani naombeni kuuliza
Kuna ofisi ya tra ambayo hufanya kazi jumamosi
Hasa hasa ile ya leseni ya pale karibia na stesheni ni swali tuu jamani naombeni msaada ili niweze kujua
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ,Augustine Mrema leo ameripoti rasmi tukio la kuzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamii katika kituo cha polisi cha OysterBay kilichopo jijini Dar es salaam .
Mh...
Wanabodi,heri ya mwaka mpya,ndugu wanabodi,huyu Dada alikuwa anaishi morogoro mazimbu Malibu na chuo kikuu cha sua,tarehe 3/12/2017,alimwita dereva was bodaboda,akamwagiza awatangulize watoto wake...
Salaam!.
Direct Kwenye Mada wakuu,. Kwa Huku kwetu uswahilini kuna jambo flani linaendelea nimeona tulijadili kwanza.
Hiki kitendo cha Mjukuu wa kiume kuitwa mume Na bibi yake ambaye amemzaa...
Vurugu zimeibuka katika Vijiji Viwili mpakani mwa Wilaya ya Serengeti na Bunda ambapo wananchi wanagombania ardhi.
Taarifa zaidi kuwajia kupitia uzi huu...........
Wakuu naomba kujua historia fupi ya John Okello
• Alikozaliwa na wazazi wake..
je ana ndugu wengine je wako hai?
• Alipokuwa Zanzibar je alikuwa anajishughurisha na nini?
• Alikuwa anaishi wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.