Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Closed
Habari wakuu natumaini mu wazima wa afya,naomba niende kwenye lengo la uzi wangu moja kwa moja Wakuu kwa sasa nasoma chuo na pia naishi mwenyewe ila kuna mtu ambaye ananifadhili kila kitu lakini...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Hakika kipengele cha kunyamvua na kujumlisha,wakiwa wanasoma magazeti Maulidi Kitenge a.k.a chumvi,Gerald Hando,Musa Kipanya na Irene Kilenga wanajua kuyasoma na kudadavua bila uwoga wowote ni...
1 Reactions
0 Replies
906 Views
Wanajamvi her ya Christmas na mwaka mpya, Leo n siku ya mwisho ya mwaka. Asa katika Uzi huu naomba tuambizane kero ambazo hutaki zijiludie tena mwaka kesho. Kero yako inaweza ikawa mazingira ya...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Ukiondoa tu ' Mabodigadi ' wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambao wengi wao bado miili yao ni ile ile tokea Mwalimu alipotutoka na inaridhisha hata kimwonekano lakini ' Mabodigadi ' wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu. Hili wimbi la wanaume kuvaa suruali za kubana sana nalo serikali iliangalie kwa kina maana haiwezekani kabisa maadili yawe kwa wanawake tu hata sisi wanaume turudi kwenye mstari mnyoo...
16 Reactions
144 Replies
26K Views
Hospitali ya wilaya Babati MRARA Mkoani Manyara imekuwa hospitali yenye kutoa huduma nzuri na bora kwa akina mama/wazazi. Na kwa miaka miwili 2016-2017 katika kitengo cha huduma ya afya ya...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Behind every successful man there's a woman behind them Leo imenibidi nizungumzie msemo huu maarufu ambao unapendwa sana kusemwa pale mwanaume anapofanikiwa kwenye maisha "Eti behind every...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Chama cha mapinduzi ccm kimemtelekeza mwanachama wake na Msanii wao Wastara Sajuki ambae aliokuwa kwenye kikundi cha Mama Ongea na Mwanao. Msanii huyo Licha ya kuwa Mlemavu aliamua kupambana ili...
8 Reactions
140 Replies
19K Views
Nani anapenda kuonyesha mapungufu? Tanzania ni nchi ambayo watu wake wamejengwa kwa hofu kuu , Hofu ya kushindwa kuifananisha Leo na kesho , Hofu ya kuhoji maswali tata yenye mustakabali mzuri Wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana kuna tetesi zinaenea kwa kasi kwamba, ktk nchi ya Msumbiji kijiji cha Nangadi, Jana tarehe 9 saa tano usiku amezaliwa mtoto. Baada tu ya kuzaliwa amefumbua macho na kuweza kuongea...
3 Reactions
170 Replies
35K Views
Jana nilibahatika kutazama habari za michezo kupitia channel hii ya televisheni. Nilijiuliza maswali mengi sana, hivi hawa ripota wa habari za michezo waliopo huko mikoani na hata hapa Dar hawana...
2 Reactions
3 Replies
925 Views
Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemhukumu mkazi wa kijiji cha Majengo Mkoani Mtwara Saidi Chindu (19) kifungo cha miaka 36 jela baada ya kupatika na hatia ya kubaka na kumtorosha mwanafunzi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili goma bana toka limeingia sokoni kwakweli binafsi naliona tofauti kabisa....sijui wenzangu mnasemaje? La zamani bhana chupa kubwa kuipiga ilikuwa hadi tonic au kalimao kidogo....ila la sasa...
11 Reactions
106 Replies
28K Views
Kuna msururu mkubwa wa magari maeneo ya Kibaigwa tangu mchana ambapo hakuna gari zinazopita katika eneo bovu la daraja na mlundikano wa magari.. Hali ni mbaya sana na traffic wamekua sehemu ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Zamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo. Kwa Marekani...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za mida hii wana jamvi?? Nahitahitaji msaada wa haraka wa kimawazo juu ya jambo hili!! Mdogo wangu wa kike anasoma chuo cha Sokoine (SUA) -Morogoro na jana mida ya saa 1 jioni wakati...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Hii ndiyo ilikuwa Oysterbay yetu watu weusi, Nyerere alipora Shamba la Mgiriki na kugeuza makazi ya high income TZ asilia kwa maana Masaki na O’ bey ni Muzungu, Upanga ni Muhindi na Msasani...
3 Reactions
74 Replies
8K Views
Niaje, Kwa maelezo zaidi sikiliza video hii
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Napata ukakasi kukubaliana na dhana ambayo hivi sasa imekuwa kubwa ya matangazo na promotion kubwa sana katika vyombo vya habari juu ya michezo ya kubahatisha. Uhamasishaji huu mkubwa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Nina swali naomba wajuvi wanidadavulie. Nimesikia wahanga wa benki zilizofilisiwa wanaweza kurudishiwa kiasi chini ya 1.5m kutoka kwenye benki ya amana. JE UTARATIBU UKOJE? Nina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom