Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 917
Hili goma bana toka limeingia sokoni kwakweli binafsi naliona tofauti kabisa....sijui wenzangu mnasemaje?
La zamani bhana chupa kubwa kuipiga ilikuwa hadi tonic au kalimao kidogo....ila la sasa lile la 750mls nalipiga bila kichanganyio na linaenda smoothly kabisa. au nina pressure ya maisha jamani?