Wote wasiopendezwa na juhudi za Rai
Na wale wote wanaotaka kwa namna moja au nyingine turudi Katika zama zile ambao;
Wizi, Rushwa, ubadhirifu ulikua ni sehemu ya maisha ya mtumishi wa uma...
Moja kwa moja kwenye ombi, naomba kufahamishwa, nimenunua line ya TTCL (SIM card) mpya lakini haifanyi kazi na simu Samsung GT-E1207Y wala simu yoyote ya button, lakini line za makampuni menngine...
Habar wana Jf?
Mwaka 2017 ulianza kwa changamoto nyingi kiupande wangu lakini nikapiga moyo konde nikasema lazima mwaka huu nitoboe.
Mwaka huu ndio mwaka ambao sitokuja kuhusahau katika maisha...
wakuu nilikuja hapa kulalamika cost kubwa nayopewa na mawakili wakati was Ku verified vyeti ambako nilikua nachajiwa 5000@ cheti,so kila nilipokua natuma application ilibidi 30000+ initoke ,lkn...
Yan 300bilioni wanapelekewa wanasiasa?walah zitatatafunwa mpka zikome!kwa nn msingewapa vijana wakaanzisha Benki yao wakapeana mikopo alafu wakalipa na riba?ongereen serikali kuleni tu.
Naitaji zile sijui nisemeje ili nieleweke ila nahisi mtanielewa...
Naitaji zile nanilii za kuulia mbu zile ambazo unqchomeka katika umeme alafu inakuwa kama INA ki tube light kikiwaka kile mbu...
Habari,
Nina safari ya siku mbili morogoro mjini,
Naomba kufahamishwa guest house nzuri mjini moro..
Iwe na usafi wa hali ya juu,
Iwe self contained,
Iwe na AC
Ulinzi na usalama wa uhakika...
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa watoto wanaokula samaki mara moja kwa wiki wanapata usingizi wa uhakika na uwezo wao kufikiri, kuelewa na kujifunza huongezeka mara...
Kama ilivyo kwa sasa serikali inahamishia makao makuu Dodoma hivyo shughuli zake zote kuwapo Dodoma. Tunatambua pia makao makuu ya kanisa Katoliki kuwapo Dar na kanisa la St. Joseph kutumika kama...
Kumekuwa na malumbano juu ya kipi kati ya serikali isiyokuwa na dini, na dini kuvuka mipaka yake na kujikuta kwenye uwanja wa mwinzie. Inaaminika kila kimoja kina mipaka yake na kila kimoja...
Kuna taarifa za mikopo ambayo taarifa zake zinasambaa hasa Mkoa wa Tanga na wilaya zake sijui mikoa mingine kwamba kuna mkopo unatolewa kwa wakulima na wafugaji kuanzia milioni mbili kwa mfugaji...
Salam wandugu
kichwa chajieleza, wakuu naomba kujuwa asili ya Mzee Moses Nnauye baba wa Nape Nnauye. alizaliwa wapi na kijiji gani na alisoma wapi. Wapo wanaosema Singida, Lindi na wengine Mtwara...
Ulikua ni mchezo maridhawa wenye taratibu na kanuni zilizosukwa vizuri sana. Kuna kiduara kinachorwa zikawekwa gololi zikiitwa kwenye mchezo "mali", ambazo wachezaji wote wanachangia kwa idadi...
Hivi Mh. Rais Christmas hii amesalia kanisa gani. Sijasikia alipokwenda kusali. Hii ni siku kubwa na Rais ni nembo ya Taifa, kujua aliko sali ni muhimu kwa raia.
Malalamiko ya wachimbaji wadogo ni kutothaminiwa na kupewa huduma muhimu za kijamii ikizingatiwa kuwa wanafanya shughuli zao kisheria kama wazawa ambao wana haki ya kutumia rasilimali zilizopo ili...
Hizi ni nchi mbili duniani zisizo na eneo maalumu lenye mipaka maalumu na ambazo watu wake wanaishi kama raia wasio rasmi kwenye nchi ambayo haikuwepo kabla.
Wote hawa wanatawaliwa na nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.