Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kabla ya kuanza kusoma kisa hiki naomba tuwe watulivu na wanyenyekevu pale watumishi wa Mungu wanaposema jambo, ni hatari kuwadharahu. 1 Wafalme 22 1 Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
Joel 2:12-13 Even now,” declares the Lord, “return to me with all your heart, with fasting and weeping and mourning.” Rend your heart and not your garments. Return to the Lord your God, for he is...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
THE LESSON FROM A DONKEY! One day a farmer's donkey fell down into a well. The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out what to do. Finally, he decided the animal was...
1 Reactions
0 Replies
528 Views
Heshima kwenu. Huwa nashangaa yanapojiri baadhi ya matukio Nchini ambayo yanagusa maswala ya Imani, Waumini ama Viongozi wengine wa Kiimani. Huwa najiuliza ni kwa nini viongozi hawa wawili, Yule...
0 Reactions
4 Replies
777 Views
Wanaume ni watu wa ajabu sana, Wanaume utawakuta wanawananga wanawake na wakati fulani wanawapa majina ya ajabu kisa tu wamekubaliwa mombi yao kwa haraka, majina kama 'maharage ya mbeya, maji mara...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi Haiwezekani toka mbs 2600 mpaka mbs 1300 na. Hawa haloteli wamezidi sasa. Jana nimeangalia salio la mbs, zilikuoemo 156 ile nacancel tu, nikatumia ujumbe wa salio la mbs 5...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana JF Katika mji Mdogo wa kibiashara uitwao Makambako ulio mkoani Njombe asubuhi ya leo Askari polisi ajulikanae kwa majina ya Zakayo Dotto Kileka amemtwanga risasi na...
32 Reactions
314 Replies
53K Views
Wachagga kwa mirungi aiseeee......atakuwa alikuwa ana kwenda kuuza wenzie wamemchoma.......... Halafu anaonekana ameshajikojolea......kabisa Hawa watu ni hatari sana katika Taifa hili na jamii kwa...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Leo Tanroads wameanza Bomoa Misikiti yote ambayo viongozi wa dini ya Kiislam waligoma kuboma huu ni msikiti wa kimara mwisho
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali Dawasco tatizo ni nini kuwakosesha wakazi wale wa Ununio maji kwa siku tatu mfululizo?!!!!.... Jirekebisheni bhana!!
1 Reactions
1 Replies
944 Views
Anachokiongelea Kamanda Kuhusu Ajali Za Mwaka Mzima 2017 Za Barabarani
0 Reactions
0 Replies
918 Views
*Masaa machache yalopita..* Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili.. Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama 80/90 hivi.... Ghafla tukamwona...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii habari nimeipata kwenye mtandao wa kijamii. Ina funzo kwa kila mmoja wetu, tunapokaribia kumaliza mwaka 2017. "Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbunge wa Vunjo, James Mbatia, akiwa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Iwa Jimbo la Moshi juzi, baada ya kuruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Rufani ya KCMC alikokuwa amelazwa, baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpaka sasa nilitegemea kuona mambo Fulani juu ya vyama vya upinzani kwaajili ya mabadiliko ya siasa nchini na sio kusubiri karibia na uchaguzi ndio muanze mbwebwe zenu,kijijini kwetu hatuta...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Ukiwa kama kijana sasa ni takribani miaka miwili na tunaelekea miaka mitatu ya JPM . ukiwa kama kijana ndani ya miaka miwili ni jambo gani au kitu umefanikiwa kufanya kipindi hiki cha jpm kwa...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu mbali mbali,naomba kuuliza hivi kuna sheria yoyote inayoruhusu Askari wa barabarani almaarufu kama Trafick akiwa hajavaa sare kusimamisha gari?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika hali isiyo yakawaida, nimeshangaa na nitazidi kushangaa ni kwa nini haya yanakua ajabu na taharuki kwenye jamii ya kitanzania. Toka kumalizika kwa ibada za krismas , tumesikia mengi na...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Kumekuwa na malalamiko sana kuhusu hizi message za haya matapeli, na hata hapa jamii forum kuna threads nyingi tu zimeanzishwa kulalamikia aina za message zinazokera kutoka kwa matapeli hawa ambao...
0 Reactions
4 Replies
850 Views
Back
Top Bottom