farujeuri
Senior Member
- Jan 22, 2017
- 153
- 121
Naitaji zile sijui nisemeje ili nieleweke ila nahisi mtanielewa...
Naitaji zile nanilii za kuulia mbu zile ambazo unqchomeka katika umeme alafu inakuwa kama INA ki tube light kikiwaka kile mbu akifata anapigwa short.. Hii nnayozungumzia ni ile ya kuchomeka ktk umeme .... Naitaji kujua naweza kuipata maeneo yap ya jiji la dar
Sent using Jamii Forums mobile app