Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,782
- 50,888
Moja kwa moja kwenye ombi, naomba kufahamishwa, nimenunua line ya TTCL (SIM card) mpya lakini haifanyi kazi na simu Samsung GT-E1207Y wala simu yoyote ya button, lakini line za makampuni menngine zinafanya kazi na simu hizo, kwa wale waliotumia line za kampuni tajwa mme experience the same prob pale mlipotumia huduma hiyo na solution yake ni nini?