Hawa wanahitajika katubu!

Hawa wanahitajika katubu!

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,138
Wote wasiopendezwa na juhudi za Rai

Na wale wote wanaotaka kwa namna moja au nyingine turudi Katika zama zile ambao;

Wizi, Rushwa, ubadhirifu ulikua ni sehemu ya maisha ya mtumishi wa uma.

Dhuluma na uonevu kwa wasiokua nacho toka kwa waliokua nacho.

Wale wote wanaotaka turudi Katika mfumo wa kuhakikisha fedha za miradi ya Serikali zinakwenda kujenga mahekalu ya wezi.

Bila Shaka anayepingana na jitihada za kuwakwamua wengi, ni sehemu ya wanyonyaji na kwa namna moja ama nyingine alinufaika na mfumo huo haramu.

Mnatukosea; mkatubu.
 
Leo inakwenda siku ya 3, Hakuna maelezo ya kueleweka kuhusu alichosema Kakobe. Ilianza mbinu ya kutumia vitisho haikusaidia, ikafuata kujibu kwa hoja nayo ikakwama, ikafuatia mbinu ya kukashifu na kupotosha naya imebuma. Sasa hiv ww umekuja na ya mafumbo, nayo itakwama lazima. Ni vyema akatubu tu kufuata katiba itakacho.
 
bila kumsahau aliyeuza nyumba za serikali na kumhonga kimada wake
 
Matusi ya UVCCM yatosha, mhh

Vijana wamekosa hoja kabisa, ni vilaza, yao ni matusi

UVCCM ni bendera fuata upepo

Kiongozi wao alikamatwa kwa Rushwa

Rais wao alisema alishindwa kuteua kutoka UVCCM maana hakuona anaefaa

UVCCM wameshindwa kujenga hoja na kuishauri serikali

UVCCM upeo wao mdogo, wanafikiri kila anaekosoa serikali ni upinzania,

wanashindwa kujibu hoja, wanatukana matusi, mpaka matusi mengine yanawarudia
 
Wewe uwe wa kwanza kitubu ili upone stroke zako
 
Back
Top Bottom