Naomba kujua

Naomba kujua

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,344
Reaction score
102,708
Hivi Mh. Rais Christmas hii amesalia kanisa gani. Sijasikia alipokwenda kusali. Hii ni siku kubwa na Rais ni nembo ya Taifa, kujua aliko sali ni muhimu kwa raia.
 
angeenda wangesema kasalimu maneno ya tortoise kaenda kutubu
si unajua kiburi cha mchattle
 
Pengine ataibukia kwenye msikiti, maana huko ndiko bado tumemkumbatia kama maji! Karibu masjid.
 
mi naona rais kusali kanisa flani mambo yake binafsi, sababu sio nchi ya kidini hii...familia yake ndio waijuze sio sisi
 
Back
Top Bottom