Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Mimi MASENU K MSUYA leo nimefikia uamuzi wa kutumia taarifa zangu sahihi humu jamiiforums ikiwezekana kuwa verified user maana sijaona sababu ya kuendelea kujificha nyuma ya id...
12 Reactions
160 Replies
11K Views
Kituo cha Association For Termination of Female Genital Multilation (ATFGM ) kilichopo Mkoani Mara kimesema jumla ya watoto 67 wamekataliwa na familia zao. Watoto hao wamekataliwa na familia...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Wakuu wenye Guest houses muwe macho katika pitapita huko you tube nimekutana na video ya mwanamama anayefanya unyang'anyi kwenye nyumba za kulala wageni kwa kutumia bunduki bandia (toy...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
TAARIFA RASMI YA MATEMBEZI Umoja wa Vijana wa CCM afisi kuu Zanzibar inawajuilisha wana CCM wote Tanzania kuwa matembezi ya kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimiza miaka hamsini na nne...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Nadhani ni jambo jema kumshukuru aliyekutendea wema, isiishie tu kwa kina Babu seya Ingependeza kama watamtembelea rais, mnaweza jikusanya au mkaenda mmoja mmoja
0 Reactions
4 Replies
877 Views
Wajuzi karibuni mnieleweshe carbon 14 ni nini na kwanini haitumiki kupimia umri wa watu ambao hawajui siku na mwaka waliozaliwa katika uchukuaji wa takwimu kama sensa,vitambulisho vya taifa na...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Nimetoka na boat ya Kilimanjaro III muda huu wa saa 8:15 kuelekea Zanzibar. Ajabu baada ya mwendo kama nusu saa boat imegeuka kurudi bandari ya Dar es Salaam Ushauri wangu taarifa ni kitu muhimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali yang’aka, yataka maelezo ya maandishi kutoka kwa wazazi Tarime. Watoto 67 wilayani hapa wamekataliwa na familia zao baada ya kukataa kukeketwa na kukimbilia kwenye kituo cha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakika mimi ni ule uzi uliosema "graduates tuliosota mtaani na kutusua" niliuelewa sana na kunipa nguvu ya kupambana sijui kwenu wanajamvi nyie ni uzi upi ulikugusa kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Usomaji wa vitabu ni jambo zuri sana. mwaka huu 2018 nimeanza na kitabu cha "My father" kilichoandikwa na Juan Pablo Escobar mtoto wa Pablo Escobar kikielezea side b ya maisha ya baba yake ambayo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni wana jukwaa nimefikaa dodoma jioni hii kwaio nilikua na uliza Kwa wale wenyeji kuwa niingie mitaa ipi ili nami nifurahie kama mwanaume halisi
1 Reactions
172 Replies
33K Views
Habari wana JF, Kama kichwa kinavyosema,naomba kujua utaratibu wa kupata chumba katika SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA,vilevile ningependa kujua malipo yake ni kiasi gani na kwa muda gani Nawasilisha.
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Sirro Mdogo (kushoto) akizungumza na mwandishi wa MWANANCHI. Siyo rahisi kuamini kuwa mtu aliyekuwa jambazi kwa miaka mingi anaweza kuacha uhalifu huo na kujitokeza hadharani kueleza namna...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Aiseee!! Nimepita hapa Ubungo maji naona vile-wanabomoa kitaalam zaidi. Heko sana. TBA jiepusheni na kelele za wanasiasa
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakika kuchinja si kazi ndogo kama una huruma; sasa sielewi wanaoteka na kuchinja binadamu wenzao kama huwa ni watu pia au ni mitambo maalum!!! Maana kuchinja ni kazi sana!!!
1 Reactions
17 Replies
2K Views
UNGEFANYA NINI? Mwanamke alimkimbia mumewe na akamuachia mtoto mwenye miaka mitatu. Sababu kubwa ya kumkimbia mumewe ni kwamba alipata boyfriend mwenye hela ambaye alikuwa akiishi Michigan huko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mabasi yanayofanya safari za kutoka Bukoba kuelekea Mwanza ambayo yametoka saa 12 asubuhi yamekamatwa hapa chato muda wa saa tatu kasoro na mengine saa tatu kamili. Mabasi hayo ni Peace Maker...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
WATUMISHI wanne wa Idara ya Ardhi na Maliasili, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kawaida ya wadada kutupia picha na video za makalio katika mitandao. Kuna madhara makubwa ; wengi ufanya kwa kuangalia leo,tazama utakapofika miaka 50 au 60...
15 Reactions
29 Replies
7K Views
Maana tazama giza litaifunika dunia,Na giza kuu kabila za watu, Bali BWANA atakuzukia wewe,na utukufu wake utaonekana juu yako. Na mataifa wataijilia nuru yako,na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom