mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Hizi ni nchi mbili duniani zisizo na eneo maalumu lenye mipaka maalumu na ambazo watu wake wanaishi kama raia wasio rasmi kwenye nchi ambayo haikuwepo kabla.
Wote hawa wanatawaliwa na nchi nyingine: Israel na Tanzania.
Tofauti kati ya Tanganyika na Palestine ni kwamba, Wapelestine wanatambulika na umoja wa mataifa Watanganyika hawajafanya jitihada za kutaka nchi yao,baada ya kifo cha mtetezi hodari wa Tanganyika,mch Mtikila, hakuna jitihada za wazi za kuidai Tanganyika zinazoendelea ,
Watanganyika wapo wengi na wengi wamesoma isipokuwa tofauti na wapalestine watanganyika ni waoga kuliko taifa jingine lolote duniani.
Jiulize wakristo wanaposoma biblia wanasemaje juu ya andiko ktk kitabu cha matendo ya mitume lisemalo kuwa Mungu aliumba kila Taifa na kuweka mipaka kwa kusudi maalumu?bila shaka wakristo wengi hawajawahi soma andiko hili.
Kuna uwezekano mkubwa tukaimba wimbo wa uzalendo bila kujua mtunzi wa wimbo anakusudia nini?
Unawezaje kuwa mzalendo bila kuwa na nchi yako ya asili?
Tanganyika inahitaji kuombewa ili wainuke wazalendo halisi wa kitanganyika, wasiokubali kuhadaiwa na hawa wazalendo wa kitanzania ambao kwa asili ndio wameua uzalendo wa watanganyika
Ni rahisi kudai Tanganyika kuliko kuzunguka kudai demokrasia.
Tanganyika kwanza
Viva Jaji Kisanga,jaji warioba na viva tume zilizotuanzishia njia ya kuidai Tanganyika.
Ilove Tanganyika