Upepo Unavuma Vyama Vya Upinzani Amkeni

Upepo Unavuma Vyama Vya Upinzani Amkeni

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Mpaka sasa nilitegemea kuona mambo Fulani juu ya vyama vya upinzani kwaajili ya mabadiliko ya siasa nchini na sio kusubiri karibia na uchaguzi ndio muanze mbwebwe zenu,kijijini kwetu hatuta wapokea.

1. Vyama vya Upinzani Kuimarisha Ukawa kwa kuongeza members mfano ACT WAZALENDO
2. Kila Mbunge kurudi jimboni na kufanya mkutano ili kuimarisha jimbo( La sivyo ccm itabeba yote)
3. Kuongeza wanachama na wajumbe ndani ya vyama
4. Kufanya uchaguzi kumpata kiongozi wa ukawa atakae ongoza Huo Muunganiko nje ya Vyama vyenu.

Msipofanya haya kura yangu naipeleka CCM mapeeema waendelee kutuongoza kwa amani coz mwaka ujao nataka kupiga kura maana sijawahi kupiga kura.
 
Mwaka ujao unapiga Kura katika uchaguzi gani,,,utakuwa ushatimiza miaka 18 binti? ?
 
Back
Top Bottom