Ina maana Serikali imewashindwa hawa watu au?

Ina maana Serikali imewashindwa hawa watu au?

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Kumekuwa na malalamiko sana kuhusu hizi message za haya matapeli, na hata hapa jamii forum kuna threads nyingi tu zimeanzishwa kulalamikia aina za message zinazokera kutoka kwa matapeli hawa ambao mpaka sasa haijulikani namba zetu wanazitoa wapi?


Pamoja na malalamiko mengi toka kwa wamiliki wa simu ambao ni watanzania wenzetu nikiwamo mimi hapa ninayepokea jumbe hizi karibu kil siku. Bado hatujaona wala kusikia serikali/jeshi la polisi ikilizungumzia swala hili au hata kulitatutua, swali langu ni

JE INA MAANA SERIKALI IMEWASHINDWA HAWA MATAPELI KWA NJIA YA MTANDAO??
8e3154ab3e51bf3f7f5a9f46fc18bf06.jpg
 
HA HA HA wako wengi sana matapeli hao
 
mjibu ivi , nataka mk$@#%&u, wallah hakusumbui tena
 
Back
Top Bottom