Nahamia tigo rasmi

Nahamia tigo rasmi

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,858
Habarini wanajamvi

Haiwezekani toka mbs 2600 mpaka mbs 1300 na. Hawa haloteli wamezidi sasa.
Jana nimeangalia salio la mbs, zilikuoemo 156 ile nacancel tu, nikatumia ujumbe wa salio la mbs 5, hazikupita hata sekunde 30 nikaambiwa sina mbs. Hawa jamaa wamekuwa wahuni kuliko wale tuliowazoea.

Sasa nimeamua kuhamia tigo.
Wale watumiaji wa mtandao huu naomba maelekezo ya manu za vifurushi na kifurushi kipi kinazo mbs za kutosha, maana mie ndo kilevi changu.

Ahsanteni
 
Hiko Tigo ndiyo balaa, heri hukohuko ulikotoka. Mie niliacha kutumia Internet ya Tigo miaka 2 sasa, niko Zantel, huko ni poa
 
Oups!
Ndo ushanimaliza hivyo asee
 
Habarini wanajamvi

Haiwezekani toka mbs 2600 mpaka mbs 1300 na. Hawa haloteli wamezidi sasa.
Jana nimeangalia salio la mbs, zilikuoemo 156 ile nacancel tu, nikatumia ujumbe wa salio la mbs 5, hazikupita hata sekunde 30 nikaambiwa sina mbs. Hawa jamaa wamekuwa wahuni kuliko wale tuliowazoea.

Sasa nimeamua kuhamia tigo.
Wale watumiaji wa mtandao huu naomba maelekezo ya manu za vifurushi na kifurushi kipi kinazo mbs za kutosha, maana mie ndo kilevi changu.

Ahsanteni
Hamia voda
 
Halotel sifa zimewazidi, sasa wanarudisha gharama zao za awali za kupenya kwenye soko, awali halotel wakati wanaingia sokoni kila kitu kilikuwa nafuu sasa bidhaa zao zimepanda bei vifurushi ndiyo usiseme na uwizi wa mb wa wazi kabisa, kwa ufupi wanafidia, mimi niliwahama muda tu
 
Hii speed wanayotumia kufidia sio rafiki kabisaa.
 
Back
Top Bottom