mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Hii habari nimeipata kwenye mtandao wa kijamii. Ina funzo kwa kila mmoja wetu, tunapokaribia kumaliza mwaka 2017.
"Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama 80/90 hivi....Ghalfa tukamwona Mbwa akijitahidi kushindana na speed ya gari kuvuka barabara....
Sikutamani kabisa kuona akigongwa..na moyoni nikawa natamani ajitahidi kuongeza mwendo..
Gari likiwa limekaribia kabisa ... Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka....pumzi ikanishuka.
Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo... Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo...
Nilipoona kitu mbwa alichodondosha... Nikajifunza somo kubwa sana... Hakika Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili..
MBWA alidondosha Mfupa wa nyama... Simple... Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!!
Hii ni akili kubwa sana
ACHA MFUPA
KUNA MIFUPA TUMEING'ANG'ANIA 2017. TUKIFANIKIWA KUWA JASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA, MWAKA 2018 TUTAKUWA WA KUJISHANGAZA.
KUNA MIFUPA YA KILA AINA TUMEING`ANG`NIA 2017. NI HAKIKA IMETUKWAMISHA MNOO
HEBU TUFANYE MAAMUZI MAGUMU... TUSIVUKE 2017 NA MIFUPA YETU.
TUIDONDOSHE HARAKA SANA
[/I]1) UZITO TULIONAO WA KUOMBA MSAADA WA MAWAZO NI MFUPA..
2) KUTUMIA MBINU ZILE ZILE ZINAZOSHINDWA NAO NI MFUPA..
3) KUDHANI KWAMBA HELA PEKE YAKE INAWEZA KUKULETEA FURAHA..HUU MFUPA MGUMU SANA
4) KUTO WAHI KAZINI NA KUTOTIMIZA MAJUKUMU YETU IPASAVYO NI MFUPA
5) KUTO HUDHURIA IBAADA/ MSIKITINI HUU HATA FISI HAWEZI KUULA
KUTOKUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA NI MFUPA
6) KUFURAHIA KUONA WENZETU WANASHINDWA WAKATI TUNGEWEZA WASAIDIA WAKAFANIKIWA NI MFUPA[/I]
HII NI BAADHI TU YA MIFUPA TULIYO BEBA.
TUDONDOSHE MFUPA....ILI 2018 UKAWE MWAKA WA MAFANIKIO KWA KILA MMOJA WETU
MUAMBIE JIRANI YAKO DONDOSHA MIFUPA INAKUCHELEWESHA.
SIKU NJEMA