Chama cha walimu tanzania(CWT) ni chama kinachohusika na kutetea maslahi kwa watumishi walio walimu tu.Kama zilivyo trade union zingine chama hiki kina utaratibu wa kukata asilimia mbili kutoka...
Watu wa marekani wanachagua mtu kutokana na sera zake.Donald Trump japo amekua akiongeza ajira 170000 kwenye uchumi wa Marekani kila mwezi.Sisi huku masikini wa Tanzania na ushabiki wetu wa vyama...
Nimetembea miji tofautu hapa nchini lakini mji wa Tunduma kwa sasa una usafiri wa Bajaji nyingi sana kwasababu kila baada ya sekunde 5 lazima Bajaji ipite katika barabara kuu itakayo Tunduma...
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Saidi Mwema, ameunda Tume maalumu kuchunguza sakata la upotevu wa fedha za kigeni, dola za Marekani 50,000 (takriban Sh milioni 90) katika...
Leo nakuletea hii ujifunze
The law of conservation of usingizi states that “usingizi cannot be created nor destroyed but can be transformed from one time to another”.
To test the applicability...
Leo nimesikia redio kuna taasisi hapa Tanzania itakuwa inakagua/inapima moshi wa magari kujua kama uko sawa kwa mazingira yetu, yaani vehicle emission standard.
Kwa nilivyosikia redioni hawa...
Kwa msisitizo mkuu, nawatakieni maisha marefu kila mmoja pasipo kusahau;
1. Serikali ya JMT
2. Bunge la JMT
3. Mahakama ya JMT
4. Watanzania wote na wasio
Tunakumbushwa kutenda wema na haki kila...
Ukweli kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya 2018, Mh. Paul Makonda umeonyesha kuwa u Mtumishi wa MUNGU. "MUNGU AKUBARIKI NA KUKUPA NAFASI YA KUTOA INJILI KWA MWAKA 2018 NA KUENDELEA" INJILI ULIYOITOA...
Naona tu whatsapp status za watu (hasa mabinti) wana-upload picha za watu kadhaa na kuandka caption ya "twenzetu 2018".
.Unapowataja watu kadhaa kumbuka kuna wengine hutawataja watajiona...
Nina maswali mengi ya kujiuliza kwenye hii miaka miwili iliyobaki kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Je watanzania wammechoka kweli na wataonyesha hasira zao kwenye Sanduku la kura au ni...
Heshima kwenu wrote. Nia ya kuanzisha huu uzi ni kutaka kujurishana matukio makubwa tuliyokutana nayo mwaka 2017. Maana naamini kuna watu wamekuta na visanga vya ajabu basi usisite kutushirikisha...
Anaandika Askofu Benson Bagonza
Jizoeze kuvuta pumzi na kufikiri. Hii itakusaidia kujisikiliza kabla hujategemea kusikilizwa na unaowahutubia. Uwezo wa kujisikiliza hukuwezesha kutambua kweli...
Amani iwe nanyi wakuu. Ninaposema ulinzi shirikishi simaanishi sungusungu bali ni vile unavyoweza kuwa tayari na attack za wahalifu popote ulipo.
Twende pamoja....
1. Unatembea ngumi hujui...
INAWEZEKANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUNA MAMBO YALIKUKWAZA AU KUNA MAMBO YARIKURUDISHA NYUMA AU KUNA MAMBO YALIKUKOSESHA FURAHA...
SASA TUKIWA TUMEINGIA MWAKA MPYA NI MAMBO GANI AMBAYO HUTAKI...