Yaliyotukuta mwaka 2017

Yaliyotukuta mwaka 2017

maforce

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
669
Reaction score
642
Heshima kwenu wrote. Nia ya kuanzisha huu uzi ni kutaka kujurishana matukio makubwa tuliyokutana nayo mwaka 2017. Maana naamini kuna watu wamekuta na visanga vya ajabu basi usisite kutushirikisha na sisi wanajamii wenzio. Natanguliza shukrani zangu na karibu kwa mjadala
 
Kujulishana
 
ilipaswa kwanza wewe useme yaliyokukuta ndipo watu wakuunge mkono
 
Back
Top Bottom