Hii slogan ya "twenzetu 2018" imekaa kibaguzi

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,319
4,089
Naona tu whatsapp status za watu (hasa mabinti) wana-upload picha za watu kadhaa na kuandka caption ya "twenzetu 2018".
.Unapowataja watu kadhaa kumbuka kuna wengine hutawataja watajiona unawabagua
. Pili unapotaja watu wachache uende nao 2018 je wengine unataka wafe 2017 wasifike 2018?

Tuweni makini na kila tunayoyatenda kila siku kwani kitu kidogo kinaweza kukuletea matokeo tofaut sana mpka ukajiuliza kuna mkono wa mtu kumbe ni slogan zako tu za kibaguzi
 
mfuate mmoja inbox mtumie vocha ya buku na picha yako,
atakuandika 'twenzetu 2018 babyto!'
utakuwa umewapiga bao
 
Back
Top Bottom