Happy new year to all!!

Happy new year to all!!

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
2,458
Reaction score
2,468
Kwa msisitizo mkuu, nawatakieni maisha marefu kila mmoja pasipo kusahau;
1. Serikali ya JMT
2. Bunge la JMT
3. Mahakama ya JMT
4. Watanzania wote na wasio

Tunakumbushwa kutenda wema na haki kila mnapopata dhamana, ya mwaka jana yamepita yawe funzo rejea kwa uboresho wa yaliyo mbele yetu. Uonevu na dhurma visitajwe kwetu tena, kwa ustawi wa taifa letu. Serikali, Bunge na Mahakama Mungu awape jicho mpate kutenda haki kila panapowahitaji kufanya hivyo....lawama mlizobebeshwa mzifute kwa kutenda wema zaidi.
Mliopewa dhamana huko juu tendeni haki, mambo ya ubaya yamepitwa na wakati
Ameeen!!!
 
Back
Top Bottom