LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,561
- 1,319
Leo nakuletea hii ujifunze
The law of conservation of usingizi states that “usingizi cannot be created nor destroyed but can be transformed from one time to another”.
To test the applicability of this law ask students, night clubbers and all who spend night time charting, watching movies or series etc. kuna watu wanasoma hadi sa tisa, kumi usiku sasa waulize kiwakutacho baada ya kutumia mda huo kwa mambo mengine bila kuupa mwili resting time utakuta jitu limelala hadi sa 6 mchana na kukosa vipindi vingine vya siku inayofuata, wale wanaoenda night clubs utakuta nao ni vilevile na kuna wengine wanajifaragua kuwa wao usingizi hauwapi shida, amelala saa kumi alfajiri eti saa kumi na mbili asubuhi anajifanya yuko on {kaamka}, wewe wala usipate taabu naye mpe mda tu ingawa inawezekana ikafika mchana ndo utajua alivyouhamisha {transformed } usingizi kutoka mda wa usiku na kuupeleka mchana. Hadi maaofisini utakuta mtu kasinzia unamwuliza kulikoni ndugu? Ananza kukupa visingizio ohooo mambo ya kifamilia tu. Pia kuna wale wanaopiga shoo za kukamia eti leo nataka nikamkomeshe nimepata vumbi la kongo, jitu linajikamua lenyewe kuanzia saa nne hadi saa tisa na saa kumi na mbili asubuhi linaamkia kama chai vile, waulize yanayowakuta utakuta jitu linakoroma siku nzima kitandani, kaka hivyo viungo viwili huwa havukomoani na ugomvi wake haunaga mshindi uliza hata wazee watakuambia
NB: PUMZISHA USIKU MDA WA KUTOSHA KWA AJILI YA AFYA YA MWILI WAKO
Karibuni kuongezea laws na principles mbalimbali ambazo tunaziviolet lakini uhalisia unabaki palepale kuwa hatuwezi kukwepa nature instructions