Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Hapana, Palau ya nini muda hii? Vutavuta mpaka lunch hoursNaruhusiwa kupost Pilau?
Sio Palau ni Pilau tena lile la wakubwa.Hapana, Palau ya nini muda hii? Vutavuta mpaka lunch hours
Aaaah sasa mkuu mpaka uombe ruhusa? Weka pilau hilo tule kwa macho.Naruhusiwa kupost Pilau?
Karibu weka na vijikoNaruhusiwa kupost Pilau?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Sio Palau ni Pilau tena lile la wakubwa.
Huu mwaka utakuja kukumbukwa kwasababu ya Historia inayokwenda kuandika Kisiasa,Kiuchumi,Kijamii na vinginevyooooWatanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana
Mshana ndugu yetu huyoooko au Kam pmNaomba kuwa rafiki na Bro Mshana Jr.