Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,657
Nimenunua mkate shs.5000.VAT ni 18%.18% ya 5000 ni 900.Hiyo yake mbona hazilingani
VAT hapo ni 18/118 x 5,000 kwa sababu hiyo 5,000 imeshahusisha kodi ndani yake.![]()
Nimenunua mkate shs.5000.VAT ni 18%.18% ya 5000 ni 900.Hiyo yake mbona hazilingani