Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
Nina maswali mengi ya kujiuliza kwenye hii miaka miwili iliyobaki kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Je watanzania wammechoka kweli na wataonyesha hasira zao kwenye Sanduku la kura au ni Zuga zuga tu ya watu wachache wa kwenye mitandao lakini ana watu wengi wanaomuunga mkono Nyuma ya hao.
Ni miaka miwili sasa imebaki lakini kuna Ambao watasema Bado ni mapema sana kuhoji Zile ahadi zake alizosema na kuziahidi kwenye kampeni.
Je zile milioni 50 za kila kijiji zitapatikana kabla ya mwaka 2020.?
Je Laptop kwa kila Mwalimu nazo zitakuwa tayari kabla ya 2020.?
Na vipi kuhusu Mikopo ya wanafunzi wa chuo itakuwa 100℅ kwa kila muhitaji kabla ya mwaka 2020.?
Sijasahau Ajira kwa vijana walioitimu nayo itakuwa historia kabla ya mwaka 2020.?
Vipi kuhusu Sera ya Viwanda tutakuwa na Viwanda vikubwa vingapi kabla ya mwaka 2020?
Kuna maswali mengi zaidi ya hayo lakini jibu ya hayo yote ni Muda ndio Utaongea na kuyajibu Let's wait and See.
Happy New Year.