Hongera Makonda kwa kutoa neno katika mkesha wa Mwaka Mpya

Walekese

Senior Member
Sep 28, 2016
149
102
Ukweli kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya 2018, Mh. Paul Makonda umeonyesha kuwa u Mtumishi wa MUNGU. "MUNGU AKUBARIKI NA KUKUPA NAFASI YA KUTOA INJILI KWA MWAKA 2018 NA KUENDELEA" INJILI ULIYOITOA NAOMBA IWAFIKIE WOTE NA WAPATE CHAKULA CHA KIROHO NA MUNGU WETU ULIYE JUU UTUKUZWE.

Mwaka huu 2018, tusamaheani, tupendane na amani ya Bwana na iwe juu yetu. nguvu zote za giza na zishindwe kwa JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. AMEN
 
Ukweli kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya 2018, Mh. Paul Makonda umeonyesha kuwa hu Mtumishi wa MUNGU. "MUNGU AKUBARIKI NA KUKUPA NAFASI YA KUTOA INJILI KWA MWAKA 2018 NA KUENDELEA" INJILI ULIYOITOA NAOMBA IWAFIKIE WOTE NA WAPATE CHAKULA CHA KIROHO NA MUNGU WETU ULIYE JUU UTUKUZWE.

Mwaka huu 2018, tusamaheani, tupendane na amani ya Bwana na iwe juu yetu. nguvu zote za giza na zishindwe kwa JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. AMEN
Bashite asubiri kupambana na moto wa milele roho za watu zinamlilia
 
Bashite asubiri kupambana na moto wa milele roho za watu zinamlilia
Ningependa kusikia RC Makonda kuwashtaki watu wote wanao tumia jina la Bashite wakimaanisha ni yeye. Nafikiri hii itakuwa moja wapo ya professionelle ya kuwa stopisha watu ambao hawako tayari kuheshimu haki za wengine.

Ni maajabu sana watu kama nyie msipo tendewa haki mnalalamika sana, lakini nyie mnavyo watendea wengine ni sawa.
 
Back
Top Bottom