Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimesikia redio kuna taasisi hapa Tanzania itakuwa inakagua/inapima moshi wa magari kujua kama uko sawa kwa mazingira yetu, yaani vehicle emission standard. Kwa nilivyosikia redioni hawa...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Kwa msisitizo mkuu, nawatakieni maisha marefu kila mmoja pasipo kusahau; 1. Serikali ya JMT 2. Bunge la JMT 3. Mahakama ya JMT 4. Watanzania wote na wasio Tunakumbushwa kutenda wema na haki kila...
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Ukweli kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya 2018, Mh. Paul Makonda umeonyesha kuwa u Mtumishi wa MUNGU. "MUNGU AKUBARIKI NA KUKUPA NAFASI YA KUTOA INJILI KWA MWAKA 2018 NA KUENDELEA" INJILI ULIYOITOA...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Naona tu whatsapp status za watu (hasa mabinti) wana-upload picha za watu kadhaa na kuandka caption ya "twenzetu 2018". .Unapowataja watu kadhaa kumbuka kuna wengine hutawataja watajiona...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamii forum mmegundua kuwa tokea saa tatu usiku huu whatsup haifanyi kazi? What is happening?
3 Reactions
142 Replies
10K Views
Nina maswali mengi ya kujiuliza kwenye hii miaka miwili iliyobaki kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2020. Je watanzania wammechoka kweli na wataonyesha hasira zao kwenye Sanduku la kura au ni...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Heshima kwenu wrote. Nia ya kuanzisha huu uzi ni kutaka kujurishana matukio makubwa tuliyokutana nayo mwaka 2017. Maana naamini kuna watu wamekuta na visanga vya ajabu basi usisite kutushirikisha...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
Anaandika Askofu Benson Bagonza Jizoeze kuvuta pumzi na kufikiri. Hii itakusaidia kujisikiliza kabla hujategemea kusikilizwa na unaowahutubia. Uwezo wa kujisikiliza hukuwezesha kutambua kweli...
4 Reactions
5 Replies
929 Views
Amani iwe nanyi wakuu. Ninaposema ulinzi shirikishi simaanishi sungusungu bali ni vile unavyoweza kuwa tayari na attack za wahalifu popote ulipo. Twende pamoja.... 1. Unatembea ngumi hujui...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Yangu (1)mateso kwa vijana(no ajira) (2)siasa mchezo mkali (3)Maisha magumu (4)...................................
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau Huu ni Uzi maakumu kwa waliobarikiwa kufika salama Mwaka 2018. 1.Aksante Mungu kunibariki hadi kufika mwaka 2018 2.
2 Reactions
87 Replies
5K Views
INAWEZEKANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUNA MAMBO YALIKUKWAZA AU KUNA MAMBO YARIKURUDISHA NYUMA AU KUNA MAMBO YALIKUKOSESHA FURAHA... SASA TUKIWA TUMEINGIA MWAKA MPYA NI MAMBO GANI AMBAYO HUTAKI...
1 Reactions
7 Replies
935 Views
Kheri ya mwaka mpya! Tukiwa na muda mchache tangu tuuanze mwaka ni vyema tukajikumbusha maneno ya baba wa taifa hili Mwl. Nyerere ili tuweze kuanza mwaka na tafakuri nzito juu ya makosa yetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wanajamviii Kwanzaa kabisaa nimshukuruu Munguu kwa mwaka mpya kabisaa huu uliotukukaa naaminii utakuwa na baraka tele kwetu sotee kama watanzania Nisicheleee niendee kwenye uzii...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Tukiwa tumejaliwa afya Njema na baraka za kuuona Mwaka 2018 maana sio wote waliopenda kuuona wakaweza kuuona Mwaka huu Mpya 2018. Namuomba Mungu amjalie kila Mwanajamii Forum 1. Kila hitaji Jema...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Mpendwa, Amani iwe nawe! Tunamtukuza Mungu kwa Mwaka Mpya 2018. Tumeona miaka ikianza na kumalizika kwa kadiri Mungu atupavyo neema. Suala la msingi ni kutafakari pia 'tunawaza nini juu ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
POLENI NA MAJUKUMU YA KAZI MA GREAT THINKERS kwa adabu bila jazba naombeni tujadili hili swala la kuaga maiti.mimi kwa upande wangu naona sio vizuri.ni kama kumdhalilisha marehemu hivi.kuna watu...
14 Reactions
101 Replies
11K Views
Leo nilikuwa nimekaa na watu fulani waliokuwa wanaongelea mambo ya michezo ambapo waliishia kubishana kuhusu neno mbao wakisema linaelezea uwingi wa ubao,sasa je ni kweli huwezi kusema kuna mbao moja?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…