UJAMAA (SOCIALISM):Una ng'ombe wawili, unampa mwenzio ng'ombe mmoja kisha mnatafuta dume linazalisha mnaendelea na maisha .
UKOMUNISTI: Una ng'ombe wawili, serikali inawachukua wote kisha itakua...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa ipo haja ya nchi kushauriwa kuvaa vazi la batiki au kitenge kwa ajili ya kuenzi utamaduni wa nchi.
"Ipo haja ya...
Tuliambiwa kuanzia January mosi 2018 local channels zilizo kuwa zikitoswa malipo ya kabla zitakuwa free,chaajabu wembe ni uleule....malipo ya kwa local channels katika king'amuzi cha startimes...
Habari zenu!
Sijasikia mamlaka ya hali ya hewa ikitoa tahadhari kuhusu mvua kunyesha Dar.
Usiku huu hapa nilipo kuna mvua kali na ya upepo kama saa moja sasa na wala sielewi hii mvua imetokea...
UKWELI MCHUNGU
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe...
Jumla ya wanafunzi watano wa kike wa shule za sekondari Tandahimba waliopata mimba mwaka 2017 wamekamatwa pamoja na wazazi watano baada ya kufanyika msako na kufanikiwa kukamatwa kwa watu hao...
Serikali imetoa siku 14 kwa kampuni ya Stamigold, inayomiliki Mgodi wa Dhahabu uliopo Biharamulo mkoani Kagera, kuandaa mpango mkakati wa kibiashara, utakaobainisha namna itakavyojiendesha pasipo...
Habar zenu
Hama baada yakufanya utafiti wangu kwa kipindi cha takriban miaka 2 ..nimeona hili mtu uitumie mitandao ya kijamii vizur haina budi kutokitukana chama cha chadema ...kwani ndio chama...
Mzee Kingunge atelekezwa na _CHADEMA_ .
Nakumbuka maneno ya aliyekuwa mwenyekiti wa BAVICHA, Mh Katambi alisema ndani ya CHADEMA watu wengi ni sawa na makarai yaani wanatumika wakati wa ujenzi wa...
Habari zenu Wadau.
Indirect kwenye Agenda, hivi ni kwanini wazungu wapo perfect sana kwenye upande wa haki za binadamu na utu kwa ujumla tofauti kabisa na waarabu.
Mfano:-
Wewe...
*TOTO AFYA KADI - UHAKIKA WA MATIBABU YA MTOTO KABLA YA KUUGUA*
Tunaendelea kuchukua hatua ili kuhakikisha watanzania wanapata huduma za matibabu bila vikwazo!
Leo nimezindua *TotoAfyaKadi!*...
Wakuu leo nmeanza kuangalia hii sinema kwa umakini wa hali ya juu sana, neno baada ya neno. Daah nmekuja gundua kumbe niliielewaga vingine kabisa hii story na nilikuwa sijipi space ya kutafakari...
Hivi majuzi tigo walipunguza mbs kwa kasi ya kutisha baada ya kupunguza wazee wa halotel wakaja kwa mbwembe hapa wakijitamba kuwa halotel ndio kuna Mi MB ya kumwaga na kwa bei nafuu hivyo wahamie...
Habarini
Blood group yangu ni O
Ninatabia ya kutokamilisha mipango yangu, yaani naweza nikapanga jambo/biashara/masomo then nikaanza utekelezaji nikifika njian kwenye utekelezaji naghairi...
Hii nchi yetu bado masikini sana. Bado sana.
Deal moja la kununua kampuni moja nchini Marekani kati ya Disney na fox entertainment ni trilioni 149.
Hii ni bajeti ya Tanzania ya miaka 5. Bado...
Niende moja kwa moja kwenye mada,ni karibu mara zote kwa upande wangu,sijui kwa wengine,mziki nitakaousikia mara ya kwanza ninapokuwa nimeamka asubuhi na hii hasa ni kwa mziki ninaoufahamu,ni...