Bus lachomwa moto,Tanga

Bus lachomwa moto,Tanga

Aniko

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
1,766
Reaction score
960
Breaking news..

Simba coach yachomwa saa hii kijiwetanga baada kugonga jamaa wa pikipiki na kumuua..
IMG-20180107-WA0010.jpg
 
Duh aisee. Hatari sana kujichulia sheria mkononi
 
Breaking news..

Simba coach yachomwa saa hii kijiwetanga baada kugonga jamaa wa pikipiki na kumuua..View attachment 670215
Hizi sheria za mkononi hatari sana sina hakika sana na njisi ajali ilivyotokea lakini hawa bodaboda limekuwa ni gonjwa sugu wanaendesha bila kufuata sheria na wanapopata ajali wanajichukulia sheria mkononi mamlaka zinazohusuka zilifuatilie jambo hili
 
Mkuu mbona unadanganya??
Hiyo Ni kenya basi la Simba Coach Na sio Tanga
Thibitisha hicho usemacho hii ni ya Tanga kama wewe unayo ya Kenya tuwekee tuione.
 
Sasa hapo wanaemkomoa ni mmiliki wa gari ambaye hana kosa
 
Hilo basi lina insurance,bado hawajmkomoa mwenye gari,labda kuwakomoa kampuni ya bima
 
Aliyekwambia ni Tz amekulisha tango pori mkuu na wewe bila kutafuta chanzo kingine cha uhakika umeona uwe wa kwanza!!! hii hapa
Screenshot_2018-01-07-14-01-57.png
 
eneo linaitwa kijiwetanga, jamaa kachukua maneno ya mwisho(tanga) akajua kuwa ipo tanga, kumbe ni Kenya! miwe na subira kuleta habari.
nakumbuka pia yule jamaa aliyedhabi ushirombo ipo rombo moshi
 
Mtoa mada hicho Kijiji cha Kijiwetanga kipo wilaya gani mkoani Tanga?
 
Back
Top Bottom