Baada yakufanya Utafiti Rasmi.

Baada yakufanya Utafiti Rasmi.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,348
Reaction score
83,297
Habar zenu

Hama baada yakufanya utafiti wangu kwa kipindi cha takriban miaka 2 ..nimeona hili mtu uitumie mitandao ya kijamii vizur haina budi kutokitukana chama cha chadema ...kwani ndio chama kinachopendwa sana hapa Tz kuliko vyama vyote ...Endapo utakiongelea vibaya chama cha Chadema basi utaoga ndoo za mapovu mpaka utamkumbuka bibi yako mzaa mama yako..hii nikutokana na vijana wengi wasomi kukipenda chama iki cha Demokrasia na Maendeleo.

kwaiyo serikal iliamua kuleta sharia za mtandao ili kuwabana vijana wasomi waleta hoja Mfano Mh yeriko nyerere,mh Bob chacha wangwe nk

Nb : hide my Id
 
Back
Top Bottom