nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,437
- 861
Haya jf mmeniungulia kutoka kifungoni je kum-ban member pasipo kumpa haki ya kujua kosa lake na kupewa haki ya kusikilizwaaaaa??
Hiyo siyo demokrasia ni mabavu mkijisikia tu au mkiwa na hasira zenu huko mnamban mtu tena utakuta mnachelea tu,shit!!
Hiyo siyo demokrasia ni mabavu mkijisikia tu au mkiwa na hasira zenu huko mnamban mtu tena utakuta mnachelea tu,shit!!