Kama namjua vileeeee...Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi
Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma
Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm![]()
![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
umesha wahi kurogwa ? Kile kirogo cha kukufanya umchukie handsome wako unipende Dududaya kama mimi?Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi
Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma
Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm![]()
![]()
Mtanzania buanaaaaAlafu huyo sio mtanzania una uhakika ni raia mwema huyu
Natafuta namba yake hapa siioni wifi yangu...Wifi yangu mbn hunipi feedback it seems unamjua
Una uhakika hamna kitu kama hicho, ngoja koromije boy arudi hawa watu alikua ana watafutaMtanzania buanaaaa
Ana asili ya Somalia
Hapana temeke cijafika sina jamaa huko tulikuwa tunakutana maeneo mengine na namba yake ilokuwa inaisha na ***6888836 haipo hewaniNatafuta namba yake hapa siioni wifi yangu...
Najaribu kulog in fb nako nimesahau password ili nikupe jina analotumia sasa fb.
Shida now sina access pale home ningekupa mawasiliano.
Ila umeenda temeke? Au uko mbali?
Last time niliwasiliana nae alikuwa nje ya nchi nikapoteza simu zangu mie.
daah dili dirisha ndo hiiNatafuta namba yake hapa siioni wifi yangu...
Najaribu kulog in fb nako nimesahau password ili nikupe jina analotumia sasa fb.
Shida now sina access pale home ningekupa mawasiliano.
Ila umeenda temeke? Au uko mbali?
Last time niliwasiliana nae alikuwa nje ya nchi nikapoteza simu zangu mie.
Acha ubaguzi lol...Una uhakika hamna kitu kama hicho, ngoja koromije boy arudi hawa watu alikua ana watafuta