olesiteti Jr
Member
- Jul 6, 2016
- 96
- 59
Kiukweli nimevutiwa na utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ila kitu ninachojiuliza kwanini ana ubunifu katika maendeleo ya Mkoa juzi nimetoka hospital mmoja mjini kitu cha kushangaza kuna miundombinu mibaya aina hadhi kulingana na mahitaji ya watu.
Kitu kingine kimenishangaza kota za polisi ziko katika hali mbaya hazistahili hata mtu kuishi katika zama hizi za kisasa.
Hoja ni kwamba Mkuu wa mkoa wa Arusha ameshindwa kukaa na wadau wa maendeleo kutatua baadhi ya kero.
Je anashindwa nini kuiga formula kwa RC Makonda namma ya kushawishi matajiri wakubwa Arusha kushiriki kutatua aibu hii.