Nimempata niliyekuwa na mtafuta

Nimempata niliyekuwa na mtafuta

celline5

Member
Joined
Dec 25, 2017
Posts
10
Reaction score
2
Napenda kutoa mrejesho wa previous post ya my X nawashakuru kwa wale wote walionisaidia kupata details nilizokuwa nazitafuta shukran na mbarikiwe.
 
Hongera sana.., nadhani sasa unajiandaa kwenda kuzunguka kwenye Mti wa Bendera!!!
 
Mmh uongo hapo tu amepatikana siungi mkono hoja
 
Napenda kutoa mrejesho wa previous post ya my X nawashakuru kwa wale wote walionisaidia kupata details nilizokuwa nazitafuta shukran na mbarikiwe.
safi sana sasa una uhakika wa koka na gomba ligi mpaka kunakucha
 
Back
Top Bottom