Nafikiri hii tabia ya kutowajibka ndio imetufikisha happa tulipo;;ndugu zangu naona kwa tv kumbe jengo hili n ubia wa bw ladha na nhc;ndugu yangu nehe;mia tumekuwa tukiamini uwezi saini cheki...
Wakuu habari zenu,
Nimepita hapa kuwamegea kidogo mambo machache ya kustajabisha niliyoyaona wiki tatu zimepita nikiwa nimetembelea Manispaa ya Shinyanga.
Mambo yenyewe ni:-
1.Mji kuna vumbi...
Sio sababu ya kaya ndio mseme vijana wanakua wezi... Sio sababu ya kaya ndio mseme wabunge wanatukana... Sio sababu ya kaya ndio mseme Mimi Malaya.. Sio sababu ya kaya mseme vijana wamepoteza...
1. Mtu anakuona umejilaza na
macho umefunga anakuuliza
umelala?.....
Hapana najaribu kufa.
2. Mvua inanyesha halafu unatoka
nje kisha mtu anakuuliza
unakwenda na hii mvua?.....
Hapana nitakwenda...
Jibu swali lolote kati ya yafuatayo ambayo yatakuwa yamekugusa na unayo majibu.
1. Kitu gani umewahi kufanya ambacho haujivunii nacho daima?
2. Kitu gani umewahi kufanya ila unajutia siku zote...
Nilishangaa sana juzi pale wale wasomeshaji walipolipuka kwa shangwe baada ya kupewa peremende.
Lakini sawa hata watoto ukiwaletea peremende huwa wanashangilia sana.
kazi njema wasomeshaji.
Habari wanajamii forum
nimekuwa nikifatilia sana hizi tamthilia kama LEGEND OF THE SEEKER,MERLIN,na zingine zinazoendana na hizo lakini nimegundua hizi tanthilia za hawa jamaa zinatumia akili...
MBINGA, RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Lukai
iliyopo kijiji cha Amani Makolo amekutwa na ujauzito wa miezi minne aliosema aliupata baada ya kubakwa akiwa anatoka kanisani...
Wanajamvi leo mkusanya kodi amenidai kodi ya takataka kwenye kiofisi changu cha tigo pesa cha ajabu ofisi yangu haina takataka na wala sijawahi ona gari ya takataka ikipita...jamani au ni tapeli...
Wakuu nadhani kwa hali ilipofikia mtu pekee ambaye naona ataimudu wizara ya nishati ni Mh Makonda. Pamoja na mapungufu yake ila huyu bwana ni mbunifu na mpambanaji, nafikiri akipewa wizara ya...
Wakuu
Fast jet ilikuwa inasemekana ndio kampuni bora zaidi ya ndege isiyokuwa ya kiserikali lakini kampuni hii wamekuwa wababaishaji sana sasa hivi wa huduma mbovu zisizokuwa za kueleweka...
Sina uhakika kama mashine ya kuoshea vyombo ipo! Lakini akitokea mtu akaibuni aina ya mashine yakuoshea vyombo vya nyumbani itatusaidia Sana ss mabachela na kutuondolea hii tabu tunayopata...
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA.
Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu.
Leo hii Wazazi/walezi...
Kumekuwa na wimbi la watu kuwatumia walemavu kama mtaji kwa maslahi binafsi. Suala hili limekuwa po kwa muda ila naona kama wanateswa juani wameeba vikombe na vikapu vya kuombea chochote.
Mbezi...
Mtwara. Abiria wanaosafiri katika msimu huu wa kuelekea sikukuu wametahadharishwa kutokula au kunywa vitu watakavyopatiwa ndani ya magari na watu wasiowafahamu.
Pia wametakiwa kutoa taarifa kwa...
Kuna mtu anashauri eti zile dola zilizokamatwa JKNIA kwa kuingizwa nchini bila kufuata utaratibu nazo zichomwe moto kama vifaranga vilivyoingizwa pia bila kufuata utaratibu.. ili kuonesha...
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sanana IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe...
Tofauti na mikoa mingine huku maisha ni nafuu sana
Pia kuna fursa za aina tofauti hasa kilimo uvuvi na mifugo
Gharama za ujenzi ni nafuu.
Na hali ya hewa ni nzuri kupindukia
Nafikiri kustaafia...
Nimesikiliza kwa mshtuko na mshangao mkubwa habari kwamba baadhi ya wanasiasa wa Zanzibar hasa wajumbe wa Baraza La Wawakilishi wanataka upelekwe mswada katika Baraza hilo wa kuongeza muda wa...