Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwakweli tusipomtumia huyu mzee ipasavyo, Africa na dunia na TZ haitakuja tokea kiongozi wa namna yake kamwe. Nashuhudia kweli ya kwamba Rais Magufuli anafanya kazi na ana uchungu sana na nchi hii...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
Kwa sasa Dunia inakwenda ktk standard utumishi uliobora. Na hii nadhani mashirika mengi ya umma yanafanya jitihada ya kutambulika kimataifa utendaji wao ili kuionyesha Dunia kuwa Nchi fulani...
1 Reactions
2 Replies
653 Views
FAHAMU UPANA WA BARABARA NA HIFADHI YA BARABARA KUEPUKA BOMOABOMOA. Jana asubuhi na mapema tarehe 23 Novemba, 2017 nilisoma gazeti la mwananchi lenye kichwa cha habari “BOMOABOMOA MPYA DAR YAIBUA...
6 Reactions
28 Replies
15K Views
Jamani!wanawake mtatuua bure, msitulazimishe,huu mchezo hautaki hasira!!!
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimepita sehemu Leo nikaona picha ya rapper wa kike machachar enz hizo Lisa lopes au kama alivojulikana 'left eye' ..pamoja na aaliyah ......nmekumbka meng na nmepta mazingatio makubwa sana ...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwaka 20130 kweli hii ni long term plan Ckujua ka serikali yetu ina long term plan
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwa vitu vinayochosha aina binadamu kuanzia anapojitambua mpaka kufa kwake jambo kuu ni lile linatajwa natafuta maisha mazuri. watu watelekeza familia, wamepata magonjwa na hata kufa...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Wakuu Naomba kuuliza ni sababu zipi au vigezo vipi vinavyowez fany uzi fulani kufutwa.? Maana jana kuna uzi nilianzisha na ulikuwa na mwendelezo ambao nliplan kuendeleza leo lakin pia kulkuwa na...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Hili suala tunarudia kuwarekebisha kila siku, lakini hamkomi, sasa naomba TCRA na uongozi wa chuo mkichukulie hatua kituo hiki kinachofanya kosa hili kila siku, aliendaa hiyo habari aende jela kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Pamoja na malalamiko yote ya wadau wa uchumi kuhusu ukweli wa kuporomoka kwa kasi ya radi kwa uchumi wa Tanzania , bado Kariakoo ya jijini DSM kuna nafuu kubwa sana ya mzunguko wa pesa Taarifa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Dar/ Nairobi. Ukanda wa hifadhi za Taifa za Serengeti na Maasai Mara nchini Kenya ambao una mojawapo kati ya maajabu manane ya dunia yanayovutia watalii, unakumbwa na tishio la kimazingira...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau, Huo ndiyo utaratibu wa familia ya kifalme nyingi za kifalme ikiwemo Uingereza. Nafasi ya kuitwa "Binti Mfalme" au "Mwanamfalme" yawastahili wale tu waliobahatika kuoa au kuolewa ndani ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau Timu ya madaktari Bingwa wa upasuaji kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili wamepiga kambi katika hospital ya rufaa Sokoine Lindi ili kupambana na kutokomeza ugonjwa...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Wadau Jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule za Sekondari Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepewa mimba katika kipindi cha kuanzia January- October 2017 na hivyo kukatizwa masomo yao. Watuhumiwa bado...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Dua yangu kwako mungu wangu.... wa babu zangu...... muongoe huyu Al-watan. Ana upeo wa hali ya juu ila umeelekezwa sipo. Hakujui wewe baba wala uwepo wako. Namuombea aujue uzima wa milele. Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiwa mpole sana unaitwa zoba Ukiwa mdadidisi sana unaitwa mjuaji Ukiwa mtu wa black and white unaitwa mchuro Ukiwa na self initiative unaitwa anajipendekeza Ukiwa smart ( physical and...
1 Reactions
6 Replies
990 Views
Wakala wa huduma ya misitu Tanzania TFS wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, imekamata mbao zaidi ya vipande mia moja aina ya Mkongozene ujazo wa Cubic mita 7,4 zenye thamani ya shilingi 2,500,000...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka 2017 matukio ya uhalifu katika jiji la DSM na haswa pembezoni mwa jiji kama vile kibamba, kiluvya n.k kumekuwa na matukio ya uhalifu kila kukicha!! Tunaomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfumo wa Rais wa Kukusanya Mapato Kielekroniki eRCS umepaisha mapato ya kodi ya makampuni ya simu kwa 102% Na Mwandishi wetu Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (eRCS) umeonyesha mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linakanusha Taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwataka Wateja kununua Umeme kwa wingi kutokana na zoezi linaloendelea la kubomoa Ofisi za Makao...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…