Ukiwa mpole sana unaitwa zoba
Ukiwa mdadidisi sana unaitwa mjuaji
Ukiwa mtu wa black and white unaitwa mchuro
Ukiwa na self initiative unaitwa anajipendekeza
Ukiwa smart ( physical and mind) unaitwa unaringa au much know !!!
Wakuu wewe uko kundi gani na unakabilianaje na stereotyping hizo za Wanadamu ????