tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka 2017 matukio ya uhalifu katika jiji la DSM na haswa pembezoni mwa jiji kama vile kibamba, kiluvya n.k kumekuwa na matukio ya uhalifu kila kukicha!!
Tunaomba jeshi LA polisi pamoja na vikosi vya ulinzi shirikishi kuimarisha doria usiku na mchana ili kunusuru maisha na mali za raia.
Sambamba na hilo tunaomba kituo cha polisi cha wilaya ya UBUNGO kilichopo kiluvya gogoni kifunguliwe na kianze kazi haraka,
Tunaomba kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa DSM kujipanga kikamilifu ili kukabili vitendo vya uhalifu vinavyo shamiri ktk jiji la DSM.
Usalama wa raia na mali zao ni haki ya msingi lazima ilindwe.