Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 613
Dua yangu kwako mungu wangu.... wa babu zangu...... muongoe huyu Al-watan. Ana upeo wa hali ya juu ila umeelekezwa sipo. Hakujui wewe baba wala uwepo wako.
Namuombea aujue uzima wa milele. Na uzima wa milele ndo huu, wakujue wewe, mungu wa pekee na yesu kristo/ Muhammad ( SWA) uliowatuma.
Ee Mungu ukimuongoa huyu na akifanya kazi zako Baba Dunia itapata elimu kubwa