Hivi Umewahi kufikiria uchungu wa hili?

Hivi Umewahi kufikiria uchungu wa hili?

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
5,530
Reaction score
6,124
Imagine,ulikuwa umekwama,huna unalotegemea ndani ya uwezo wako linaloweza kukukwamua hapo ulipo,kila mtu unampigia simu unamkopa pay,anakwambia sina,na wengine ambao wamekwambia sina,sio kwamba hawana kweli ila tu hawaoni umuhimu wa kukusaidia na shida yako,Sasa Anatokea muungwana mmoja anaamua kukusaidia kwanza utoke kwenye gumu ulilo nalo,alafu aunakuja kumdhulumu hiyo pesa yake aliyokusaidia,wakuu huwa tunajitoa tuu ufahamu ila kama unafikiria vizuri,ni kitu kibaya sana na kinaweza kukukwamisha hata baadhi ya mambo yako
Tujenge utaratibu wa kulipa madeni wakuu mwaka huu
 
Mkuu umekutwa na majanga nini?
mkuu kuna jamaa aliniambiaga mama yake anaumwa muhimbili,so kuna pay nimuazime,sasa nimedai mpaka nimechoka na simu hapokei ila ni mchizi wangu sasa kuliko tupoteze ushkaji na pay nimeamua kupotezea tuu ingawa sidhani kama ni kitu kizuri,ndio maana naikumbusha jamii nzima tuwe na utaratibu wa kulipa madeni
 
Hapo uliposamehe ndipo ulipokata mzizi wa fitina na huyo rafiki endelea nae maana hata siku akikwama hata thubutu kukuomba hela kwa kuwa anajua anadaiwa, Mimi hawa watu au majirani anakukopa 10,000 au 20,000 huwa sihangaiki kuwadai maana najua hawatanikopa tena maishani mwao
 
ni kweli mkuu.ndio maana niliamua kupotezea paya ila ushkaji uendelee,maana najua the world is round,soon atakuja tena
 
mkuu kuna jamaa aliniambiaga mama yake anaumwa muhimbili,so kuna pay nimuazime,sasa nimedai mpaka nimechoka na simu hapokei ila ni mchizi wangu sasa kuliko tupoteze ushkaji na pay nimeamua kupotezea tuu ingawa sidhani kama ni kitu kizuri,ndio maana naikumbusha jamii nzima tuwe na utaratibu wa kulipa madeni
Pole sana! Asante kwa kutukumbusha.
 
pole ndugu. ni kweli inaumiza na ukute hela anayo ya kulipa ila tu haoni umuhimu wa kukulipa wewe kwanza anaitumia kwa mengine.
 
Back
Top Bottom