Hifadhi za jamii Kiteto ziwe shirikishi

Hifadhi za jamii Kiteto ziwe shirikishi

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Hifadhi ni muhimu ndani ya jamii na kwamba katika mpango wa matumizi bora ya ardhi hifadhi ni sehemu ya mpango huo

Kumekuwepo na malalamiko ya wakulima Kiteto kuhusu uanzishwaji wa hifadhi

Kimsingi jamii ya kifugaji maasai Kiteto wamekuwa msaada mkubwa kuonyesha mpango huo mzuri wa kuanzisha hifadhi

Mpango huo ni mzuri unahitaji dhana shirikishi kwa makundi mbalinbali ndani ya jamii

Kwa hapa Kiteto jamii ya wakulima wamelalamikia uwepo wa hifadhi hizo kutokana na madai kuwa hakuna dhana shirikishi

Pamoja na mpango huo kuwa mzuri nashauri Serikali Kiteto kuhakikusha inasimamia mipango hiyo badala ya kuachia jamii moja wafugaji..
 
Hivi wewe mbona una uandishi mbovu namna hii !!!

Ulichokiandika sidhani hata wewe kama umekielewa
 
Back
Top Bottom