IGP Simon Sirro amesema silaha zote zilizoporwa na wahalifu katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika vituo vya polisi zimepatikana na mtandao wa mauaji ya watu yaliyokuwa yakifanyika Mkuranga...
Habari wakubwa zangu,Natanguliza heshma kubwa mbele yenu.Poleni na mihngaiko ya siku.
Wakuu kuna uhusiano gani kati ya mzazi na mtoto?? Mana leo mchana nilikua katika duka moja hapa chuoni...
Hope
mko poa wana jf leo nimeona niwaletee kitu hiki najua wengi mnajua hata Kama hujua utajua leo natumai ulishawahi kusikia kitu kinaitwa marijuana mmea ambao umewekwa kundi moja na madawa...
Kwa kweli ni masikitiko makubwa sana kuona umeme ukikosekana tangu asubuhi mpaka jioni. Jana hapa Mwanza kwenye baadhi ya maeneo umeme ulikatwa tangu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Leo...
Wapendwa nawasalimu katika Jina la Yesu.Usiku huu nawaletea fungu kutoka Biblia takatifu ili tuweze tafakari kwa pamoja.
"Kwa kuwa katika Adam wote wanakufa, Kadhalika na katika Kristo wote...
Mods naomba huu uzi ubakie hapa na sio Jukwaa la Biashara. Kuna aina ya pombe kali inapendwa sana na watumiaji hapa nchi, nimekuwa natumiwa kama zawadi ila kila ninayemuonjesha anaipenda kiasi...
Binadamu sisi ni kweli wa mavumbini.Tunasahau mambo haraka sana.Mfano hata vifo vya ndugu au watu mashuhuri tunasahau haraka.Hatuchukuagi hata wiki.
Unakuta mtu kafiwa na mzazi mwenzie lakini...
Habari za Jioni wakuu!
Kama kichwa cha somo kinavyoeleza,namtafuta Gungu yetu kwa muda sasa bila mafanikio niwaombeni wanajukwaa kama kuna anaemfahamu ampe taarifa hii au kama amebadili ID...
Leo nimeona meseji whatsapp mwanafunzi wa kidato cha pili, scolastica secondary huko Moshi amepotea anatafutwa.
Taarifa ya habari ITV wameonesha amepatikana ila amekufa, na amezikwa, wamefukua...
Mamlaka tajwa kwa nini hamkamati school bus mbovu zinazojaza wanafunzi kama nyanya kwenye matengo, kwa kuwasaidia nitaje shule za Dar zenye tabia hiyo;
1. Olympio
2. Bunge
3. Diamond
4. St. Mary's...
Zaidi ya wanafunzi 70 wa shule za sekondari za Bujera na Mwaji wamenusurika kifo baada ya vyumba vitatu vya madarasa pamoja na jengo la maabara kuezuliwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali...
Naomba nitumie fursa hii kuwatahadharisha ninyi watu wa mipango miji na wizara husika ya makazi na uendelezwaji wa miji na makazi ya raia kwa ujumla.
Kumekuwa na kasi ya ununuzi wa viwanja...
Habari zenu wanajamvi,naomba mwenye template ya bills of Quantity kwa ajili ya ujenzi wa nyumba. Itapendeza zaidi kama itakuwa na mfano yaani ikiwa na contents zake.
Mimi siyo mtaalamu wa mambo...
Wakuu hii ni ramani ya bagamoyo inayoonyesha mgawanyiko wa hali ya udongo na umahsusi wa udongo kwa ajili ya uzalishaji wa kundi fulani la mazao.
Hii ramani ni moja kati ya nyingi zilizoandaliwa...
Wakuu salamu zangu kwenu.
Wengi wetu tunafahamu kuwa Tanzania iliingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na kufanyika kwa uchaguzi mkuu ukishirikisha vingi mwaka 1995.
Kama ulivyo...
Wadau nisiende na story
Nimerushiwa 2000 na wakala, ikaingia meseji kua wamenipa airtime bonus ya 3000 na salio wakalilamba lote eti jimelipa deni.... nikapanick nikapiga CC akapokea mdada mmoja...
Habari zenu wenzangu
Nimejikusanya kwa miaka kadhaa uku singapore ,ila nataka this December nikiwa likizo nijenge nyumbani bukoba Nyumba ya vyumba vinne na bathrooms 2 yaan kwa kifupi
Vipimo...