Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wapendwa nawasalimu katika Jina la Yesu.Usiku huu nawaletea fungu kutoka Biblia takatifu ili tuweze tafakari kwa pamoja.
"Kwa kuwa katika Adam wote wanakufa, Kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.Lakini kila mmoja mahali pake: limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo atakapokuja"
1 Wakorintho 15:22,23
Mungu awabariki sana.