SUMATRA na mabasi ya shule yanayobeba wanafunzi

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,121
Mamlaka tajwa kwa nini hamkamati school bus mbovu zinazojaza wanafunzi kama nyanya kwenye matengo, kwa kuwasaidia nitaje shule za Dar zenye tabia hiyo;
1. Olympio
2. Bunge
3. Diamond
4. St. Mary's
5.

PIA tuwapongeze TUSIIME kwa weledi wao katika kuendesha shule..Wakora Waitu!
 
La ajabu hao SUMATRA nao wanadai nyongeza ya mshahara.
 
Ongezea na school buses za Atlas school kwanza hazijasajiliwa pili zinajaza watoto kama Vitunguu kwenye gunia
 
Mamlaka tajwa kwa nini hamkamati school bus mbovu zinazojaza wanafunzi kama nyanya kwenye matengo, kwa kuwasaidia nitaje shule za Dar zenye tabia hiyo;
1. Olympio
2. Bunge
3. Diamond
4. St. Mary's
5.

PIA tuwapongeze TUSIIME kwa weledi wao katika kuendesha shule..Wakora Waitu!


olympio na diamond zina watoto wengi mno halafu mabasi ya shule machache wanajazwa kwenye mabasi mpaka wengine wanakaa kwenye ile platform ya kioo cha nyuma kule kibasila utaona idadi ya watoto wanaosubiri mabasi ni kubwa sana kuliko mabasi yanayowasubiri
 
Watanzania tuliowengi ni wababaishaji na lack of commitment ktk utendaji wa kazi na hicho ndicho kinachotugharimu.

Tuna maneno mengi sana na mipango mingi na sheria nzuri utekelezaji sasa ni mtihani japo!!

Tofauti na mataifa mengine ulimwenguni!!

Ukitaka watumishi wanaojituma nenda Jwtz,Tiss
 
Kamata kamata hii itakoma baada ya wiki mbili, utaratibu wa kawaida utaendelea hadi litokee janga lingine. We still need 3 million more years of Evolution to take place before we join the rest of the civilized world.
 
Back
Top Bottom