seduceme
Member
- Oct 2, 2017
- 46
- 45
Wadau nisiende na story
Nimerushiwa 2000 na wakala, ikaingia meseji kua wamenipa airtime bonus ya 3000 na salio wakalilamba lote eti jimelipa deni.... nikapanick nikapiga CC akapokea mdada mmoja, majibu yake sasa mwee.
Nikaona sio shida wakati wanasolve io ishu acha niweke vocha ingine. Nikarushiwa buku wakalamba tena 200 ikabaki mia nane.
Nikaona sio kesi ngoja nijiunge UNI255 ya mia tano. Kila nikiunga naambiwa sina salio. Kucheki nina zero. Data ilikua off na sijampigia mtu wala kutuma meseji.
Napiga customer service tena niongee nao. Nakuta wameflag namba yangu nikipiga naambiwa eti watoa huduma wanaongea na sim zingine.
This is too much